Key: F Intro: Dm Gm7 C7 F Dm7 Gm7 C7 Verse 1: F Gm7 Barua Toka Jaramogi na kenyatta C7 F Wanauliza kama Kenya kuko sawa Dm Gm7 Nikawajibu Kenya tuko na disaster C7 F Watoto wetu wanazidi kuzikana Dm Gm7 Na Tom Mboya ameshika tama C7 Am7 Alituacha kama angali kijana Am7 Je? angekuwa mambo Gm7 Yangekua sawa? C7 F Ndivyo Alivyopanga maulana Gm7 Deni Mlizowacha bado tunalipa “Tunalipa” C7 F Na tumekopa zingine china Dm7 Gm7 Tukajenga reli pia barabara C F Zilizobaki watu wakasanya
Chorus: So Dm Dm7 Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C F Tuko pabaya leo kuliko jana Dm7 Gm7 Sikio la kufa halisikii dawa C Fmaj7 Tuko kwa twitter tuna jibizana F Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C7 Am7 Tuko pabaya leo kuliko jana Dm7 Gm7 Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta Gm7 Tusake Zetu C F Tungali vijana Verse 2: Gm7 Waumini kwa mathree na passie kwa bimmer C Kushoto fungu la kumi F Sadaka kulia Dm7 Gm7 Ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa C Anakula sacramenti F Kabla ya raia Dm7 Gm7 Siku za mwisho zime shawadia C A7 Na revelation inatuambia Dm7 Gm7 Hii generation inachoma picha C F Ni generation yetu Chorus: So Dm7 Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C F Tuko pabaya leo kuliko jana Dm7 Gm7 Sikio la kufa halisikii dawa C F Tuko kwa twitter tuna jibizana Dm7 Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C Am7 Tuko pabaya leo kuliko jana Dm7 Gm7 Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta Tusake Zetu C F Tungali vijana Instrumental: Dm7 Gm7 C F Dm7 Gm7 C F Verse 3: Dm Gm7 Michuki alisema tufungeni mikanda C F Ona leo twavuna tulicho panda Dm7 Gm7 Kura zetu zilitugawanya C F Makabila na pesa pia tulimanga Dm7 So when you make your bed oh Gm7 You lie on it ohh! C Am7 Usingizi gani tumelala? Dm7 Gm7 Tuta jua hatu jui C F Vision 2030 itabaki ni story Chorus: Dm7 Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C F Tuko pabaya leo kuliko jana Dm7 Gm7 Sikio la kufa halisikii dawa C F Tuko kwa twitter tuna jibizana Dm7 Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C Am7 Tuko pabaya leo kuliko jana Dm7 Gm7 Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta Gm7 Tusake Zetu C F Verse 4: Dm Mdosi aliniambia Gm7 Freedom never comes for free Bb F We vote tribe, ama real cash, ask Boni Dm7 Tuna roho mahali hamwezi Gm7 Ita gsu plus doggy C World mzima twitter F Kotndio first body Dm7 Burn picha si ni waafrika Gm7 Black coffee “Annan” C A A7 I’m richer than my neighbor but we both in the slum Dm7 If the rich always win then Gm7 Why should the popular run? C F Unless democracy ni word si usema F Only for fun Outro: Dm7 Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C Uh, na hii weekend tuko church F Tunauza sura kabisa Dm7 Post ya haga Dm7 Huenda poa sana na Gm7 Caption ya scripture C Kaa hiyo gospel F Pitisha bag ya sadaka kwa club Dm7 Gm7 Tujiangalie “Tujiangalie” C Uh, traffic madrug ubuy ndai A7 Traffic mandai zinadrag Dm7 Ku admire mwizi amemake it Gm7 Story za shamba wamegrab C F Mkono nahonga imevaa N.C. Bracelet ya colors za flag
Published:
Last updated: