Tuning: Standard (E A D G B E) Kenyan Song Chorus: Am F Bwana ni mwokozi wangu C Tena ni kiongozi wangu G Am Ananipenda leo kuliko jana F Baraka zake hazikwishi C Si kama binadamu habadilikie G Am Ananipenda leo kuliko jana F Kuliko jana C Kuliko jana G Am Yesu nipende leo kuliko jana F Kuliko jana C Kuliko jana G Am Yesu nipende leo kuliko jana
Verse: F C Nakuomba Mungu uwasamehe G Am Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema F C G Na maadui wangu nawaombea maisha marefu Am Wazidi kuona ukinibariki F C Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana G Am Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika F C Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana G Am Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita Ooh, na Chorus: Am F Bwana ni mwokozi wangu C Tena ni kiongozi wangu G Am Ananipenda leo kuliko jana F Baraka zake hazikwishi C Si kama binadamu habadilikie G Am Ananipenda leo kuliko jana F Kuliko jana C Kuliko jana G Am Yesu nipende leo kuliko jana F Kuliko jana C Kuliko jana G Am Yesu nipende leo kuliko jana Verse: Am F Wewe ndio nategemea C Kufa kupona baba nakutegemea G Chochote kitanikatsia Am Kuingia mbinguni utaniondolea F Wewe ndio nategemea C Kufa kupona baba nakutegemea G Chochote kitanikatsia Am Kuingia mbinguni utaniondolea Chorus: Am F Bwana ni mwokozi wangu C Tena ni kiongozi wangu G Am Ananipenda leo kuliko jana F Baraka zake hazikwishi C Si kama binadamu habadilikie G Am Ananipenda leo kuliko jana F Kuliko jana C Kuliko jana G Am Yesu nipende leo kuliko jana F Kuliko jana C Kuliko jana G Am Yesu nipende leo kuliko jana Verse: Am F Wewe ndio nategemea C Kufa kupona baba nakutegemea G Chochote kitanikatsia Am Kuingia mbinguni utaniondolea F Wewe ndio nategemea C Kufa kupona baba nakutegemea G Chochote kitanikatsia Am Kuingia mbinguni utaniondolea Ooh, na Chorus: Am F Bwana ni mwokozi wangu C Tena ni kiongozi wangu G Am Ananipenda leo kuliko jana F Baraka zake hazikwishi C Si kama binadamu habadilikie G Am Ananipenda leo kuliko jana