Niinue Na Tabo Za chords by Dr. Sarah K
Guitar chords with lyrics
Original Key: C# Major 🎸 Intro: C# F# G# x2 . 🎸 Verse: C# F# C# G# Mbele ninaendelea ninazidi kutembea A#m F# G# C# Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe C# C#7 C# G# Mbele ninaendelea ninazidi kutembea A#m F# G# C# Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe
🎸 Chorus: C# F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe C# C#7 F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe 🎸 Verse: C# C#7 F# C# G# Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe A#m F# G# C# Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba C# C#7 F# C# G# Nisikae duniani ni mahali pa shetani A#m F# G# C# Natazamia mbinguni nitafika kwa imani 🎸 Chorus: C# F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe C# C#7 F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe 🎸 Verse: C# C#7 F# C# G# Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu A#m F# G# C# Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe C# C#7 F# C# G# Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu A#m F# G# C# Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe 🎸 Chorus: C# F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe C# C#7 F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe 🎸 Chorus: C# F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe C# C#7 F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe
Published:
Last updated:
Please rate for accuracy!
