Kijito Cha Utakaso (The Cleansing River) Verse 1: C G C F C G C Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus) C G C F C G C Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation) Chorus: (2x) C F C G Kijito cha utakaso (The cleansing river) C F C G Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there) C G C F Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because) C G C Nimepata utakaso (I have received the cleansing)
Verse 2: C G C F C G C Viumbe vipya naona, Damu ina nguvu (I see new beings, the Blood is powerful) C G C F C G C Imeharibu uovu, uliyo dhulumu (It has destroyed the evil that harm) Chorus: (2x) C F C G Kijito cha utakaso (The cleansing river) C F C G Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there) C G C F Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because) C G C Nimepata utakaso (I have received the cleansing) Verse 3: C G C F C G C Naondoka kutembea, nurudi mwa mbingu (I have left to walk, returning towards the heavens) C G C F C G C Na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu (With a clean heart that pleases God) Verse 4: C G C F C G C Ni neema ya ajabu kuoshwa kwa damu (What a great Grace to be washed by the blood) C G C F C G C Na Bwana Yesu Kumjua Yesu wa msalaba (of the Lord Jesus. To know Jesus of the cross) Chorus: (2x) C F C G Kijito cha utakaso (The cleansing river) C F C G Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there) C G C F Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because) C G C Nimepata utakaso (I have received the cleansing)
Published:
Last updated: